kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,192
- 5,685
Hii iko offline chief.Mkuu nasambaza CV hii naweza itest kabisaa ila Fanya kuniwekea bundle tu
Utapata taarifa zotee
Okay, inawekwa playstore soon. Japo kwa simu zote za android nadhan kuanzia 2017 huwa zinascan kwanza na kukwambia kama app ina risk.Ipakie Playstore.
Kudownload kwenye source isiyoaminika, ni risk.
Hahahaaa inaweza. Soon naiweka playstoreInawezaje kufanya yote hayo ikiwa offline mkuu!!?
ThanksUI iko simple & clean. Kudos
[emoji848][emoji109]Hahahaaa inaweza. Soon naiweka playstore