Nahitaji binti wa kuoa, awe na umri kuanzia miaka 25-28

Nahitaji binti wa kuoa, awe na umri kuanzia miaka 25-28

clearmind

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
813
Reaction score
1,913
Habari waJF? Muda umefika wa kuwa na ubavu wangu. Nahitaji kuoa hivi punde. Binti ambae yupo na vigezo hivi naomba tuwasiliane:

1. Mzuri
2. Umri kuanzia miaka 25-28
3. Dini yoyote
4. Ajue kusoma na kuandika
5. Awe tayari kufunga ndoa kuanzia anapoona bandiko hili.

Wasifu wangu
1. Ni mwanaume
2. Umri: Miaka 37
3. Mkristo
4. Kazi yangu ni ulinzi
5. Makazi: Dar es Salaam
 
Ukitangaza ndoa direct watakuja wengi sana walioficha makucha yao .. Kuwa makini sana
 
Back
Top Bottom