Abeeephen_
Wakianza kuitisha kamati, wasinisahauLamomy
Uduguu, mume huyu hapa, fanya ndoa tuwe nayoo na tutambee nayoo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utachangia shingapi? 😂😂😂Wakianza kuitisha kamati, wasinisahau
Na kusema hii kazi yake, itakimbiza wengi sana.....awe makini sanaUkitangaza ndoa direct watakuja wengi sana walioficha makucha yao .. Kuwa makini sana
Njoo mama. Mmeo nipo huku nakusubiri.Abee
NdioAjue kusoma na kuandika?
Acha bhangiiNjoo mama. Mmeo nipo huku nakusubiri.
😂😂😂Bangi tena?Acha bhangii
Usijali mpenzi tutatumia hizi akili zilizokuongoza kuandika hapaMe nipo Ila sijuh kusoma na kuandika babe
Sawa mume wanguUsijali mpenzi tutatumia hizi akili zilizokuongoza kuandika hapa
Karibu sana mke wanguSawa mume wangu
@Lamomy uduguu njoo hapaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akaribie