Nahitaji Boyfriend toka JF awe na Sifa hizi

hapo pm yake itafurika mabazaz hawakosekanaga well the only friend I have right now is "cannibis sativa" I trust this guy completely he never let me down I think you should try befriend him lass. he is famous know by the name "ganja"

he is very faithful and loyal friend I recently meet him again at some forest plantation park (name hidden) I was doing some research I was botany student.
 
Daaah Mungu akubariki maana hata na mimi umenifariji, bado najiuliza nisingefungua jamii forum je! ningeweza kuiona hii comments?? May God blessing you
 
Binti, mbona hueleweki ? Unataka Boyfriend au Mpenzi? Maana kama ni boy friend mbona unakataa wengine kwa sababu wameshaoa kama Gudume? Kama lengo lako ni boy wa kushare nae mawazo , hao walio oa wana tatizo gani?. Ukimpata mwenye qualities zote hizo kama ulizo zitaja usiache kuni tag. Unasema hutaki Mpenzi lakini ukishampata nakupa miezi mitatu utakuwa ushaliwa tayari! Labda huyo jamaa awe ni "Punga"
 
Mimi je,haujanisoma??
 
Mimi vipi haujanisoma soma!!!
 
Tunakupataje sasa Bi khadija?
mimi mwenyewe nimekua nikitafuta watu kama wewe.
 
Najarib tuu kum describe mtoa uzi kwa sentensi moja

"Kama hujawai kua na mahusiano hata mara1 na una guts namuna hii kwa mtoto wa kike bas mtoa mada wew utakua mbovu kishenzi"

Conment tayar
 
Hujawahi kuwa na boyfriend/mpenzi kwa hiyo wewe bikra?

Ama mechi za mchangani zinahappen mara kadhaa
Dem ambae hajawai kua na bwana hata ,atakua mbov kishenz,..ogopa sana dem mwenye guts kama hiz za kutafta bwana af yeye hajawai kua na bwana..ni mbovu balaa
 
Asante sana loh... Nitaacha kabisa yale mambo yangu ya shirk ili niweze kushare mengi na wewe
 
Boyfriend na mpenzi ni sura mbili za sarafu moja. Wataka punda au mlio bibie?[emoji41]
Khantwe si nmesema rafiki wa kiume in english boyfriend. Au hujaelewa wapi dada yangu? Nimesema sitaki mpenzi. Mbona nimeandika kwa wepesi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…