Nahitaji Business Write Up

Nahitaji Business Write Up

KIJANA2013

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2013
Posts
466
Reaction score
201
Habari wana JF

Kwanza napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa msaada nilioupata baada ya kuomba wataalamu wa ramani za nyumba, wabarikiwe kwa wale wote waliochukua muda wao na kuwasiliana na mimi. Nimefanikiwa na sasa kazi inaendelea.

Leo hii nimekuja ili kuomba kuwasiliana na wataalamu wa Write up. It involves gathering of information, analyzing them for the purpose of specific business or project, planning the business or work, forecasting the outcome, justification of the business or project and reporting.

Write up ziwe mbili yaani project ya Nursery na nyingine ni Primary School.

Nawasilisha
 
wasiliana nami kwa simu 0752238263
 
Tuwasiliane kwa simu 0752238263, Nitakufanyia ndani ya muda mfupi sana
 
Mko located wapi?

Ofisi ya kampuni yetu KIMI ipo hapa Mbeya mjini, japo tunahudumia wateja kutoka popote walipo Tz au nje ya nchi. Mfano sasa tuko kwenye Ukusanyaji data kwa ajili ya Kudevelop a certain Investment opportunity kwa ajili ya mtanzania mwenzetu aishie TURKEY ambae kwao ni Morogoro lakini Mradi wake utakuwa Visiga pwani. Mambo yanaenda hakuna tatizo. OPT to work with a registered company kwani kuna faida nyingi for the sake of your Business and your money too.
Kila la kheri!!
 
Back
Top Bottom