Nahitaji bwana shamba awe msimamizi wa shamba

Nahitaji bwana shamba awe msimamizi wa shamba

Street Hustler

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
2,175
Reaction score
4,299
Nahitaji kijana alietoka chuo mwenye uelewa mpana kwenye kilimo Cha nyanya, kitunguu, mahindi, maharage na alizeti pia mwenye kujua na kutunza vizuri nguruwe, mbuzi na ng'ombe

-Awe anajituma
-Mwenye kufanya kazi Bila kutumwa
-Awe mbunifu na kujiongeza
Tabia njema na uaminifu
-Awe ametoka na kuhitimu mafunzo ya kilimo kwenye chuo kinachotambulika na serikali kwenye sekta husika

Eneo la kazi ni mkoa wa Kilimanjaro hvyo akiwa mkazi wa eneo husika itapendeza Zaid.


Muda wa kuanza kazi ni haraka iwezekanavyo.

Nicheki sandukun kwa wasifu na uhitaji
 
Back
Top Bottom