Ikiwa unahitaji Camera tofauti na hii unaweza wasiliana nami;
Kuna Nikon D5300 na ina lens 2 pamoja na stand camera na lens hazina shida yoyote lakini battery haikai na chaji sana.
Hii camera unaweza piga picha nzuri sana lakini pia kwa uchukuaji wa video upo vizuri.
Vyote vinauzwa kwa 1,300,000/=