Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahitaji Canon ir2520 mpya au used abroad . Kama unajua Bei au zinakopatikana kwa Mwanza au kahama, naomba msaada wako.
Anazungumzia Photocopy machine.Ikiwa unahitaji Camera tofauti na hii unaweza wasiliana nami;
Kuna Nikon D5300 na ina lens 2 pamoja na stand camera na lens hazina shida yoyote lakini battery haikai na chaji sana.
Hii camera unaweza piga picha nzuri sana lakini pia kwa uchukuaji wa video upo vizuri.
Vyote vinauzwa kwa 1,300,000/=
Duh!!we noma...Ikiwa unahitaji Camera tofauti na hii unaweza wasiliana nami;