Nahitaji car diagnosis software ya kutumia kwenye PC pamoja na OBD2 cable

Nahitaji car diagnosis software ya kutumia kwenye PC pamoja na OBD2 cable

Nyingi zipo specific kwa aina flani ya gari. Mfano Japanese cars au Germany au European. Wewe unataka gari gani?
 
Am interested too.

Who ever has plan to vacate in Germany, just curious about the matter.
 
Huu uzi unanifaa sana acha niendelee kuufatilia
 
Habari wajumbe!

Nahitaji hiyo car diagnosis software, nilijaribu kutafuta moja inayoitwa techstream ila sikufanikiwa kuifanyia installation, hivyo kwa ambaye anaweza kuwa nayo please tell me
Mkuu ulifanikiwa, mimi natafuta car diagnostic machine iwe na uwezo wa kupima gari zote. iwe English version
 
kama unahitaji techstream haina shida softwere mm ninazo new version nitakuwekea na kuactivate kabisa.

shida ya cable huwezi pima gari zote mkuu.

lkn softwere ya teachstream usiwe na wasi ipo naweza kuku fanyia instalattion by team viwer. TV
 
Mkuu ulifanikiwa, mimi natafuta car diagnostic machine iwe na uwezo wa kupima gari zote. iwe English version
ipo mkuu utapewa bluetooth na tablet au bluetooth tablet utanunua mwenyewe then nakufanyia installation.

0717228064
 
ipo mkuu utapewa bluetooth na tablet au bluetooth tablet utanunua mwenyewe then nakufanyia installation.

0717228064
Kaka samahani kidogo kuna kitu kinanitatiza,najua engine huwa inapitia sehemu nne ili kukamilisha mzunguko mmoja ambapo sehemu hizo ni intake,compression,combustion pamoja na exhaust.

Sasa kuna kitu kimoja ambacho kinanitatiza akili yangu.Kwenye hiyo hatua ya kwanza ya intake, piston huwa inashuka chini na valve zinafunguka ili oxygen inyonywe iingie kwenye chamber ya cylinder kwa ajili ya hatua ya pili ambayo ni compression.

Kinachonitatiza ni kwamba ili kazi fulani ifanyike huwa kunahitajika nguvu/energy/power,sasa nguvu ambayo huwa inatumika kushusha hiyo piston chini ili hewa iweze kuingia kwenye chamber huwa inatoka wapi?

Kumbuka kwenye hatua ya intake hata combustion bado kwa hiyo hakuna pressure inayoisukuma piston chini,sasa ni kitu gani huwa kinaisukuma piston kwenda chini ili valve zifunguke hewa iingie kwenye chamber ya cylinder?
 
Kaka samahani kidogo kuna kitu kinanitatiza,najua engine huwa inapitia sehemu nne ili kukamilisha mzunguko mmoja ambapo sehemu hizo ni intake,compression,combustion pamoja na exhaust...
Starter ina kazi gani?
 
Bro
Kaka samahani kidogo kuna kitu kinanitatiza,najua engine huwa inapitia sehemu nne ili kukamilisha mzunguko mmoja ambapo sehemu hizo ni intake,compression,combustion pamoja na exhaust...
Brow kabla ya kuangalia mapigo ya engine unatakiwa ujue piston haijipandishi na kujishusha yenyewe nayo inategemea crank shaft izunguke ili piston ifanye kazi yake so uliwezaje kujua mapigo ya engine bila kujua piston inapata vp ubavu wa kufanya kazi usikariri brow fatilia vzuri
 
Kinachoizungusha crank shift ni kile kitendo cha Piston kupanda juu na kushuka ndiyo maana mimi najikita kwenye Piston kwanza.Msingi wa crank shift kuzunguka ni Piston ipande juu na kushuka.

Swali langu la msingi sasa ni kwamba Piston huwa inatoa wapi ile nguvu ya kwanza ya kushuka chini ili valve zifunguke hewa iingie kwenye chamber ya cylinder kwa ajili ya stage ya pili ya compression?Kwa sababu kumbuka kwenye hii hatua ya kwanza hata combustion ambayo huwa inasababisha pressure ya kuingandamiza/kuishusha Piston chini huwa bado haijafanyika!
 
Starter ina kazi gani?
Mkuu shukrani sana kwani swali lako limekuwa ndiyo jibu la swali langu.Kumbe starter motor ndiyo huwa inaenda kuizungusha crank shift mpaka pale ambapo engine inaenda kwenye stage ya tatu ya combustion ambapo huwa inaweza kujitengenezea nguvu yake yenyewe ya kujiendesha.

Lakini sasa bado kuna swali limebaki kichwani.Tunajua kuwa kwenye stage ya tatu ya engine,combustion huwa inatoa nguvu inayosababisha piston kushuka chini kwa ajili ya kuendeleza mzunguko wa crank shift.Sasa nguvu ya kuirudisha piston juu kwa ajili ya exhaust stage pamoja na kurudia mzunguko mzima wa kuanzia stage one ya intake huwa inaendelea kutoka wapi?
 
Mkuu shukrani sana kwani swali lako limekuwa ndiyo jibu la swali langu.Kumbe starter motor ndiyo huwa inaenda kuizungusha crank shift mpaka pale ambapo engine inaenda kwenye stage ya tatu ya combustion ambapo huwa inaweza kujitengenezea nguvu yake yenyewe ya kujiendesha...
Kumbuka pistons huwa zimepangiliwa katika kushuka na kupanda, kama engine ni ya pistons nne...utakuta mbili zikipanda...mbili zinashuka..ni kama unavyonyonga pedal za baiskeli

images (51).jpeg
 
Back
Top Bottom