Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Mkuu hiki kitu nimejifunza na nikakielewa fasta sana kwamba piston moja ikiwa chini nyingine inakuwa ipo juu tayari kwenye combustion stage ambapo ikisukumwa kurudi chini basi inanyanyua ile iliyopo chini kurudi juu kwa ajili ya combustion na mzunguko unakuwa unaendelea.Sasa mkuu nilipokwama ni vipi engine ya piston moja huwa inajiendesha?Kumbuka pistons huwa zimepangiliwa katika kushuka na kupanda, kama engine ni ya pistons nne...utakuta mbili zikipanda...mbili zinashuka..ni kama unavyonyonga pedal za baiskeli
Ili engine iwake,inabidi izungushwe kwa speed fulani Ili kuanzisha mlipuko wa mafuta na hewa ndani ya combustion chamber.baada ya kuzungushwa na mlipuko kuanza,na piston kusukumwa chini,starter inakuwa haina kazi Tena.Mkuu hiki kitu nimejifunza na nikakielewa fasta sana kwamba piston moja ikiwa chini nyingine inakuwa ipo juu tayari kwenye combustion stage ambapo ikisukumwa kurudi chini basi inanyanyua ile iliyopo chini kurudi juu kwa ajili ya combustion na mzunguko unakuwa unaendelea.Sasa mkuu nilipokwama ni vipi engine ya piston moja huwa inajiendesha?
Mkuu nina wasiwasi mmoja.Kumbuka katika stage two ya engine ambayo ni compression piston huwa inahitaji nguvu kubwa sana katika kurudi juu ili kupanda juu kutengeneza mgandamizo wa hewa pamoja na mafuta kwa ajili ya combustion(stage three ya engine).Ili engine iwake,inabidi izungushwe kwa speed fulani Ili kuanzisha mlipuko wa mafuta na hewa ndani ya combustion chamber.baada ya kuzungushwa na mlipuko kuanza,na piston kusukumwa chini,starter inakuwa haina kazi Tena...
Hujajibu swali lake...kazi ya starter ni kuzungusha crank shaft ili injini iwake....injini ikishawaka starter inakuwa haina kazi kwa wakati huoStarter ina kazi gani?
Kinachoizungusha crank shift ni kile kitendo cha Piston kupanda juu na kushuka ndiyo maana mimi najikita kwenye Piston kwanza.Msingi wa crank shift kuzunguka ni Piston ipande juu na kushuka...
Hujajibu swali lake...kazi ya starter ni kuzungusha crank shaft ili injini iwake....injini ikishawaka starter inakuwa haina kazi kwa wakati huo
Sawa mkuu..Niliuliza ili tuanzie hapo kwanza...ndipo maelezo mengine yafuate mkuu
Bro.... Kuna engine ya piston moja?!Mkuu hiki kitu nimejifunza na nikakielewa fasta sana kwamba piston moja ikiwa chini nyingine inakuwa ipo juu tayari kwenye combustion stage ambapo ikisukumwa kurudi chini basi inanyanyua ile iliyopo chini kurudi juu kwa ajili ya combustion na mzunguko unakuwa unaendelea.Sasa mkuu nilipokwama ni vipi engine ya piston moja huwa inajiendesha?
Zipo bwana Joe Lewis Thomas.Kwani engine ya pikipiki ni piston mbili?Bro.... Kuna engine ya piston moja?!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zipo bwana Joe Lewis Thomas.Kwani engine ya pikipiki ni piston mbili?
Dah nimecheka sana kumbe unamjua mwamba....Zipo bwana Joe Lewis Thomas.Kwani engine ya pikipiki ni piston mbili?
Namkubali sana mwamba kwenye ile kitu yake ya I don't wanna be a player no more pamoja na can't back the years achilia mbali gheto child.Dah nimecheka sana kumbe unamjua mwamba....
Mkuu ulifanikiwa, mimi natafuta car diagnostic machine iwe na uwezo wa kupima gari zote. iwe English version
Mkuu shukrani sana kwani swali lako limekuwa ndiyo jibu la swali langu.Kumbe starter motor ndiyo huwa inaenda kuizungusha crank shift mpaka pale ambapo engine inaenda kwenye stage ya tatu ya combustion ambapo huwa inaweza kujitengenezea nguvu yake yenyewe ya kujiendesha.
Lakini sasa bado kuna swali limebaki kichwani.Tunajua kuwa kwenye stage ya tatu ya engine,combustion huwa inatoa nguvu inayosababisha piston kushuka chini kwa ajili ya kuendeleza mzunguko wa crank shift.Sasa nguvu ya kuirudisha piston juu kwa ajili ya exhaust stage pamoja na kurudia mzunguko mzima wa kuanzia stage one ya intake huwa inaendelea kutoka w
Umesoma fire ring order za engene? Ukumbuke kila piston inamuda wake wa kupitia hiyo fire ringMkuu shukrani sana kwani swali lako limekuwa ndiyo jibu la swali langu.Kumbe starter motor ndiyo huwa inaenda kuizungusha crank shift mpaka pale ambapo engine inaenda kwenye stage ya tatu ya combustion ambapo huwa inaweza kujitengenezea nguvu yake yenyewe ya kujiendesha.
Lakini sasa bado kuna swali limebaki kichwani.Tunajua kuwa kwenye stage ya tatu ya engine,combustion huwa inatoa nguvu inayosababisha piston kushuka chini kwa ajili ya kuendeleza mzunguko wa crank shift.Sasa nguvu ya kuirudisha piston juu kwa ajili ya exhaust stage pamoja na kurudia mzunguko mzima wa kuanzia stage one ya intake huwa inaendelea kutoka wapi?