Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Wakuu, Nina Simu yangu ambayo power ya Betri yake ni mAh 6000 na Chaja yake ina output ya 5V=2A. Hivyo nimekuja kugundua kuwa betri ya simu ni kubwa sana ukilinganisha na output ya chaja, hii inapelekea kutojaza simu/betri kwa haraka.. Just imagine natumia masaa yasiyopungua 5 kujaza simu.!! Hii hali huwa inanitesa sana.
Hivyo basi, nahitaji chaja yenye uwezo wa kutoa output kubwa At least 10V=4A. Ni maduka gani au brand gani nzuri na zenye ubora ninaweza kupata chaji matata kama hiyo ambayo naweza kutumia muda usiozidi masaa 2:30 kuchaji simu yangu na ikajaa full.