Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Ni factor nyingi zinazofanya simu I charge faster, kwanza charger yeyote kuanzia 2A Huwa considered as fast charger, hiyo unayoitaka ya 4A inaweza kuwa impractical.Wakuu, Nina Simu yangu ambayo power ya Betri yake ni mAh 6000 na Chaja yake ina output ya 5V=2A. Hivyo nimekuja kugundua kuwa betri ya simu ni kubwa sana ukilinganisha na output ya chaja, hii inapelekea kutojaza simu/betri kwa haraka.. Just imagine natumia masaa yasiyopungua 5 kujaza simu.!! Hii hali huwa inanitesa sana.
Hivyo basi, nahitaji chaja yenye uwezo wa kutoa output kubwa At least 10V=4A. Ni maduka gani au brand gani nzuri na zenye ubora ninaweza kupata chaji matata kama hiyo ambayo naweza kutumia muda usiozidi masaa 2:30 kuchaji simu yangu na ikajaa full.
Yaani masaa 5 unalalamika mkuu... Mi yangu inajaa masaa 11...Wakuu, Nina Simu yangu ambayo power ya Betri yake ni mAh 6000 na Chaja yake ina output ya 5V=2A. Hivyo nimekuja kugundua kuwa betri ya simu ni kubwa sana ukilinganisha na output ya chaja, hii inapelekea kutojaza simu/betri kwa haraka.. Just imagine natumia masaa yasiyopungua 5 kujaza simu.!! Hii hali huwa inanitesa sana.
Hivyo basi, nahitaji chaja yenye uwezo wa kutoa output kubwa At least 10V=4A. Ni maduka gani au brand gani nzuri na zenye ubora ninaweza kupata chaji matata kama hiyo ambayo naweza kutumia muda usiozidi masaa 2:30 kuchaji simu yangu na ikajaa full.
Wale wa kuweka usiku na ukiamka unakuta bado haijajaa.....π€£ππ€£π€£πππYaani masaa 5 unalalamika mkuu... Mi yangu inajaa masaa 11...
Simu yako iko na fast charging technology ? maana 5V - 2A bado ni charge kumbwaWakuu, Nina Simu yangu ambayo power ya Betri yake ni mAh 6000 na Chaja yake ina output ya 5V=2A. Hivyo nimekuja kugundua kuwa betri ya simu ni kubwa sana ukilinganisha na output ya chaja, hii inapelekea kutojaza simu/betri kwa haraka.. Just imagine natumia masaa yasiyopungua 5 kujaza simu.!! Hii hali huwa inanitesa sana.
Hivyo basi, nahitaji chaja yenye uwezo wa kutoa output kubwa At least 10V=4A. Ni maduka gani au brand gani nzuri na zenye ubora ninaweza kupata chaji matata kama hiyo ambayo naweza kutumia muda usiozidi masaa 2:30 kuchaji simu yangu na ikajaa full.
Asante kwa ushauri Mkuu..Ni factor nyingi zinazofanya simu I charge faster, kwanza charger yeyote kuanzia 2A Huwa considered as fast charger, hiyo unayoitaka ya 4A inaweza kuwa impractical.
Unaweza Kuta Kichwa kipo fresh ila shida ni resistivity ya USB cable, na cable kuwa sio fast charging cable, ukienda dukani Bora ukasubiri hata 30 min uone performance ya charger unayoinunua, ukijilishisha nunua.
Huoni kama ni mengi Hayo mkuu..?Yaani masaa 5 unalalamika mkuu... Mi yangu inajaa masaa 11...
Yatajua yenyewe mkuu, mi nakua nimelalaHuoni kama ni mengi Hayo mkuu..?
Kama simu yako inakubali 5V ukichomeka chaja ya 10V unainguza, Amps hazina shida sababu zinavutwa.Wakuu, Nina Simu yangu ambayo power ya Betri yake ni mAh 6000 na Chaja yake ina output ya 5V=2A. Hivyo nimekuja kugundua kuwa betri ya simu ni kubwa sana ukilinganisha na output ya chaja, hii inapelekea kutojaza simu/betri kwa haraka.. Just imagine natumia masaa yasiyopungua 5 kujaza simu.!! Hii hali huwa inanitesa sana.
Hivyo basi, nahitaji chaja yenye uwezo wa kutoa output kubwa At least 10V=4A. Ni maduka gani au brand gani nzuri na zenye ubora ninaweza kupata chaji matata kama hiyo ambayo naweza kutumia muda usiozidi masaa 2:30 kuchaji simu yangu na ikajaa full.
MaH 6000 probably ni TECNO (Infinix, Itel)Unatumia simu ya Aina gani(Kampuni),Umeitumia kwa Muda gani?