Daddymaster
New Member
- Jun 5, 2020
- 3
- 0
Habari wadau, natafuta machine ya kutengeneza chalk Kwa ajili ya kuanzisha mradi wa kutengeneza chalk na kuuza, mwenye uzoefu na biashara hii anisaidie kupata machine na ushauri wa biashara yenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashine zinapatikana japo kwa kuagiza gharama zake zinakuwa chini kidogo ila uzoefu na biashara ya chalk sijui kwakweliHabari wadau, natafuta machine ya kutengeneza chalk Kwa ajili ya kuanzisha mradi wa kutengeneza chalk na kuuza, mwenye uzoefu na biashara hii anisaidie kupata machine na ushauri wa biashara yenyewe.