Habari, Mimi ni mjasiliamali mdogo wa huduma ya Tigo pesa, sasa nimepata wazo la kuongeza biashara ya kukodisha CD na kuingiza nyimbo sasa nilikuwa na shida ya desktop mpya na bei yake na chimbo la kupata movies na seasons mpya angalau kila mwezi nifate mzigo Dar. Ila desktop nahitaji moja tu ila pia kama nitapata vitu hivyo kwa Tanga mjini ni bora zaidi