Nahitaji chimbo la kupata, season mpya na desktop

Nahitaji chimbo la kupata, season mpya na desktop

Mkulima na Mfugaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
1,047
Reaction score
1,832
Habari, Mimi ni mjasiliamali mdogo wa huduma ya Tigo pesa, sasa nimepata wazo la kuongeza biashara ya kukodisha CD na kuingiza nyimbo sasa nilikuwa na shida ya desktop mpya na bei yake na chimbo la kupata movies na seasons mpya angalau kila mwezi nifate mzigo Dar. Ila desktop nahitaji moja tu ila pia kama nitapata vitu hivyo kwa Tanga mjini ni bora zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njoo Dar.. Kariakoo mtaa wa likoma na agrey utapata mpaka uchoke mwenyewe season kama zote
 
Back
Top Bottom