Nahitaji chumba cha kulala siku 15-20 kwa Dar ninayo laki moja mfukoni

Risk manager

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
8,837
Reaction score
17,496
Habari zenu wanajukwaa

Kuna mdau anahitaji chumba cha kulala kwa hizo siku.

Dar es salaam mabibo pawe karibu na chuo cha Nit itapendeza.

Siku kuanzia 13/14 July mpaka 25/26 july

Namba ya mhusika ni pm Kama unapo mahala pa kulala.

Kulala ,kuoga na kujisaidia basi hakuna kingine.

Yupo safarini anakuja Dar Sasa hana pa kufikia
 
Habari zenu wanajukwaa
Kuna mdau anahitaji chumba cha kulala kwa hizo siku.
Dar es salaam mabibo pawe karibu na chuo cha Nit itapendeza.
Siku kuanzia 13/14 July mpaka 25/26 july
Namba ya mhusika ni pm Kama unapo mahala pa kulala.
Kulala ,kuoga na kujisaidia basi hakuna kingine.
Yupo safarini anakuja dar Sasa hana pa kufikia
Ingia vingunguti huko, hautokosa kabisa.
 
Nenda Mbagala kuna gesti chumba self ni elfu tano. Ambacho sio self elfu tatu.
Maji unaletewa kwenye ndoo.
 
Back
Top Bottom