Masterchuma
Member
- Apr 1, 2021
- 9
- 19
Hii ilikuwa muhimu?? Punguza kujielezea sana .Amani ya Bwana iwe nanyi.
Ni mimi kijana wenu mhitimu wa Chuo Kikuu nipo katika kujitafuta kwenye mji huu wa Moshi nimejishikiza sehemu kikazi
Mtafute huyu Lexus SUV. Hizo mbwembwe za chuo kikuu siju nini zinachora picha kama ni juha fulani hivi; achana nazo.Amani ya Bwana iwe nanyi.
Ni mimi kijana wenu mhitimu wa Chuo Kikuu nipo katika kujitafuta kwenye mji huu wa Moshi nimejishikiza sehemu kikazi
Naomba msaada wa chumba cha kupanga master au master sebule sawa, bei isizidi 130,000/=
Maeneo ya mitaa ya Mbuyuni, Dar Es Salaam hadi Soweto na maeneo mengine jirani na hiyo mitaa.
Natanguliza shukrani.
Muhimu bajaji iwe Moja. Kwenda mjini.......... Bonite patamfaa sana maana nauli ya bajaji mpaka bonite Kagera ni 500 tuu na ndo kipo hapoKwa bajeti yako tafuta maeneo ya Bonite au Soweto
Bonite safi zipo nyumba za kisasa kidogo tofauti na SowetoMuhimu bajaji iwe Moja. Kwenda mjini.......... Bonite patamfaa sana maana nauli ya bajaji mpaka bonite Kagera ni 500 tuu na ndo kipo hapo