Nahitaji chumba masters maeneo ya Kimara, nipo serious

Nahitaji chumba masters maeneo ya Kimara, nipo serious

Herry jr

Member
Joined
Oct 16, 2020
Posts
74
Reaction score
134
Dalali yoyote ambae yupo tayari kufanya biashara naomba anicheki kwa no;0783 24 2247

Nahitaji chumba chenye sifa zifuatazo:

Kiwe ni master room
Kiwe maeneo ya Kimara
Kiwe ndani ya geti/fensi usalama wa kutosha
Luku ya kujitegemea (Japo co lazma sana)

Bajeti yangu ni 70K-100K

Nipo serious, nahtaji kuanza kuhamisha vtu vyangu kuanzia week ijayo.

Namb yang ipo juu hapo na ina watsap, nafanya kazi kuanzia j3-jmos asbh mpk ucku kwahyo cku pekee ya kwenda kukitazama chumba n jpili so n vzr mtu akanitumia picha watsap.
 
Back
Top Bottom