Nahitaji chumba Self cha Kupanga Arusha

Nahitaji chumba Self cha Kupanga Arusha

Ukitu

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2016
Posts
216
Reaction score
181
Habari

Natafuta chumba cha kupanga Arusha, maeneo ya Moshono au Njiro.

Kiwe chumba kimmoja ambacho ni self , kiwe kina nafasi na jiko dogo

Chumba kiwe katika mazira masafi yenye ulinzi na karibu na barabara.

Budget ni 100k
 
Wanakuja wasubiri ila wanaweza kuja kukuvunjia maana watu wa Arusha ni wezi sana!
 
Sema ukipata sehemu nzuri probability za kuibiwa pia ni ndogo
Ili usiibiwe usipange kwenye nyumba zile kama shule ya msingi uwe na wapangaji wenh=gine wawili au wewe na mpangaji mweingine baasi hawaibi hapo!
 
Kama utapenda maeneo ya airport then kuna chumba, sebule na kitchen yake. Nyumba mpya kabisa wewe ndo utakuwa mtu wa kwanza kukaa
 
Huyo Dalali wa Mushono hata mimi alinisaidia kupata sehemu ya kukaa nilipohamia Arusha mwaka 2019,na pia alinisaidia kupata kiwanja cha kununua Kiseriani,yupo safi
Sawa nimeshamtafuka ananisaidia kutafuta
 
Back
Top Bottom