Nahitaji connection au links za magroup ya WhatsApp yanayohusu technology kuhusu simu, PC na mengineyo kama hayo

DOM_LEADER

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2023
Posts
291
Reaction score
483
Habari wakuu

Kiukweli nahitaji kuongeza uelewa kuhusu mambo mifumo ya sim na mambo ya computer like androids, OS, Linux, bypassing and other like that.

Hivo nilipendelea sasa kisaidiwa kupata connection hasa za whatsapp ili kukutana na wataalamu mbalimbali katika group hizo.

ASANTENI SANA.πŸ™πŸ™πŸ™
 
Ukipata na links za telegram tuwekee apa mkuu
 
Andika namba yako ya WhatsApp
 
Nicheki pm. Nitakusaidia maswala yako. Kukupa mwanga piaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…