Nahitaji connection AUWSA - Kuunganishiwa Maji Taka Kwa Haraka

Ntu

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
1,001
Reaction score
650
Kwema Wakuu. Nahitaji Mtu wa Kunisaidia Niunganishiwe Huduma Tajwa Hapo Juu (kwa Haraka).

NB:
1. Nyumba Ipo Hapa Arusha (Ya Wapangaji)
2. Mimi ni Muajiriwa Mahali na Sina Muda Wakwenda Kupanga Foleni AUWSA kufuata Procedure/s

Karibu PM tuyajenge/tumalizane
 
Well watakuja ila pia kwa pale nje ya ofisi zao, kunakuwaga na hao jamaa wanapiga hizo mishe sana
 
Thanks Mkuu. Ila Nataka Waje PM Tumalizane kwani Muda wakwenda hapo ofisini kwao Sina Mkuu....
 
Tupe bajeti yako tuje tunyonye mavi chap!
Ni mavi yenye uwingi gani roli ngapi?
 
Back
Top Bottom