Well watakuja ila pia kwa pale nje ya ofisi zao, kunakuwaga na hao jamaa wanapiga hizo mishe sanaKwema Wakuu. Nahitaji Mtu wa Kunisaidia Niunganishiwe Huduma Tajwa Hapo Juu (kwa Haraka).
NB:
1. Nyumba Ipo Hapa Arusha (Ya Wapangaji)
2. Mimi ni Muajiriwa Mahali na Sina Muda Wakwenda Kupanga Foleni AUWSA kufuata Procedure/s
Karibu PM tuyajenge/tumalizane
Thanks Mkuu. Ila Nataka Waje PM Tumalizane kwani Muda wakwenda hapo ofisini kwao Sina Mkuu....Well watakuja ila pia kwa pale nje ya ofisi zao, kunakuwaga na hao jamaa wanapiga hizo mishe sana
sawa mkuuThanks Mkuu. Ila Nataka Waje PM Tumalizane kwani Muda wakwenda hapo ofisini kwao Sina Mkuu....
Nawasubiria Kwa Hamu Mkuu....Ngoja waje kukupa muongozo...