Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah.....Panda Bus nenda mpaka Mwanza kawatafute wafanya biashara wa samaki utapata connection na taarifa za kutosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kariakoo pia wanauza kwa jumla Fanya research,Naitaji mtu ambae yuko Mwanza ambae anafanya biashara za samaki kwa maana ya uchuuzi na usafirishaji mpaka Dar es Salaam.
Au kwa yoyote ambae anajua A to Z ya kununua samaki mpaka usafiri to Dar es Salaam
Panda Bus nenda mpaka Mwanza kawatafute wafanya biashara wa samaki utapata connection na taarifa za kutosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda soko LA Shekilango, wafanyabiashara wengi pale wanaagiza toka mwanza. Kajenge mahusiano utapata connections
Sent using Jamii Forums mobile app
Fanyia research mkuu,Gharama zake zinaweza kuwa sawa na kuagiza kutoka mwanza?
eeeh haya.That's why niko JF
eeeh haya.
ukweli Jf kuzipata details zote ni very rarely.
watu wanashinda mahusiano na Siasani Ila ukipita kwa Mtu muhusika wa Hiyo biashara unapata details za kutosha ukipita kwa watu wawili tofauti unalinganisha ulichoambiwa unachukua hata.
ukisubiri habari zote JF...
Kama upo serious nikupe namba ya mfanyabiasha aliye mwanza anayefanya biashara hiyo uongee naye. Ila kwa kiasi kidogo nachofahamu nikuwa mwanza kuna aina mbili ya ufanyaji wa hyo biashara .Naitaji mtu ambae yuko Mwanza ambae anafanya biashara za samaki kwa maana ya uchuuzi na usafirishaji mpaka Dar es Salaam.
Au kwa yoyote ambae anajua A to Z ya kununua samaki mpaka usafiri to Dar es Salaam
Mkuu jidamke asubuhi; uamkie pale riverside darajani. Apo kuna supplier huwa na muona, waweza enda pata A,B,C,D.Naitaji mtu ambae yuko Mwanza ambae anafanya biashara za samaki kwa maana ya uchuuzi na usafirishaji mpaka Dar es Salaam.
Au kwa yoyote ambae anajua A to Z ya kununua samaki mpaka usafiri to Dar es Salaam
Iyo pesa ya research waweza kuta ndo pesa ya mtaji wake mkuu.Biashara bila reasech ya macho i mean kuona a.k.a kutazama mwenyewe nikuzika Pesa be careful Jomba..
Mtazamo wangu andaa 500,000 nenda Ziwani kafanye reasech..na usiruke kamba.. Mvuvi, wanunuzi, msafirishaji I mean all CHAIN la sivyo unaangukia PUA.
Mtaani kuna Jomba Genge linakuwa kwa speed kumbe jamaa anapunguza mpaka njiti za kiberiti.. Ujazo wa kiberiti njiti 40 yeye anagawa mara mbili jiulize Ganda anatoa wapi? Bado namfanyia reasech so be careful Business is more than a business.
Sent using Jamii Forums mobile app
nakutafuta pia unipe connection