Nahitaji connection

Nahitaji connection

Isolated

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2022
Posts
212
Reaction score
363
Wakuu Habari zenu
Nina mdgo wangu anahitaji kusoma kosama kozi za afya

Lakini matokoe yake Ya advance pamoja na ukweli na competition... ni ngumu kutoboa tofauti na miaka ile Sisi tunasoma div2 ya 10 unapata kozi yoyote ya afya..

Dogo Kavurugwa anataka kozi za afya
Nime jaribu kumshawish aende kozi nyingine, dogo ndo kwanza yuko tiyar abaki mtaani

MI nimekuja mbele yenu kuomba USHAURI ni fanyaje na hata ikiwezekana dogo kuchaguliwa kupitia kusaidiana kwa connection mmi nko tiar kupokea msaada hata kwa gharama kias

Nimekuja j. Forums najua kuna watu wa namna mbalimbali kias kwamba kusaidika inaweza kua rahisi pia

Karibuni wakuu

Tokeo lake dv2 pt 10 ktk pcb ana CDC
 
Kama unayo hela peleka kcmc nursing au bugando au Hubert kairuki..
 
Aombe private anapata, kwenye afya connection ni ngumu ndugu utaliwa hela yako bure, maombi yote yanapitia kwenye mfumo kwaiyo kama sio mazuri sana mfumo unakutema Automatically.
 
Back
Top Bottom