Nahitaji control box ya Nissan Vannete N200

DENAMWE

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2019
Posts
862
Reaction score
871
Nahitaji Control box ya Nissan Vannete N200 ya mwaka 2010.
Nimeambatanisha picha.
Nifahamishe bei.
Screenshot_20230401-082727.jpg
 
Attachments

  • Tapatalk-Download-167905067267U6KcFe08oD76ck.mp4
    2.6 MB
Hiyo tapalk download ya huyo mama imejichomeka kwa bagati mbaya.
 
Nakushauri utafute fundi competent kuthibisha tatizo, nina gari hizo, nishanunua control box na shida haikuwa hiyo...

Mafundi, hasa wa dar ni wezi
Asante sana.
Fundi aliyenielekeza hivyo alipima kwa kutumia Kompyuta.
Naomba unielekeze/unisaidie namna ya kumpata.
Nipo Ngara.
 
Jicho la 2 ni muhimu sana, mcheki huyu jamaa: Chizim - yupo gerage za masai camp: 0755 191 791 mwaminifu sana.
 
Jaribu kuongeza wigo wa uelewa wako kwamba kuna tofauti kati ya kukosa maarifa na wizi!!

Nimeishi Arusha, maisha yote na Dar miaka 5, aisee mafundi na watu wa Dar ni shida sana.

Waongo waongo sana, wavivu, hawezi komaa kuwa mvumilivu kujenga uaminifu.

Anaeza kukuambia vitu vingi vibovu kwa sababu ya hela, ukatoa genuine part ili tu afanye kazi au cha juu.

Watu wa Arusha are more straight, kuna wahuni, ila wana afadhali, by far na ni wa chapakazi.
 
Mafundi wa bongo almost wanafanana, siyo qualified kwenye ufundi kwa sababu ya ukosefu wa uwekezaji kwenye ufundi kwa maana ya vyuo bobezi, majority ya mafundi hao wameijifunza garage za mwembeni in two weeks baadae wanahania garage jirani instantly wanataka kushusha gear box....ngumu kwa aina hii ya mtu kuwa competent!

Ukosefu au upungufu wa maarifa unaendana na ukisefu wa maadili na miiko ya kazi na ndio unasababisha kuwepo wizi, kule kwenye vyuo vikubwa na vya kati kwenye kujifunza ukicha yale masomo core lkn yapo yanayofundishwa kwa ajili ya kusupport ufanisi kwenye utendaji kazi tunapikuwa tumehutimu na kuhudunu kwenye kazi za taaluma zetu, jambo ambalo mafundi wengi wa Tanzania wamekosa kwa sababu huenda hata hiyo mitaala ya masomo ya ufundi wanayofundishwa hamna masomo supportive kwa core subjects!
 
Hili ni kweli kabisa.
 
Back
Top Bottom