Nahitaji Coumpany! Yako!

Nahitaji Coumpany! Yako!

ha tokea mda ule ndo uanijibu sasa/???nlitoka hapo saa 1 kwa kukusaidia mdada mkali katik wote waliokuwepo humo ndo mimi sahivi nipo the kiss kama unaweza kuja njoo rafiki:A S clock:[DUH SIO KWAMBA NIMECHELEWA KUJA ILA MUDA ULE ULE NILIINGIA HAPO, KUANGAZA MACHO SIKUONA CHOCHOTE! NA ILI UAMIN HAPO KULIKUWEPO KIGAR KIDOGO CHA MILANGO 2
basi sasa hivi kigari chochite cha milango miwili nikikuona nitakuwa naita apolonary apolonary tatizo hujaniambia rangi ya gari rafiki
 
Habar zenu wana bodi! Nimekuwa niko sirias kias kwamba watu wa karibu yangu wananiogopa ua kukaa mbali na mimi, Marafiki nilioko nao wananionyesha dharau ikiwa ni pamoja na ubinafsi! Kitu ambacho sipendi kitokee! Ningependa kuwa na kampani kwa maana ya marafiki na si lingine! Yaan nimekua mkiwa sababu ya ubinafsi ninaoonyeshwa na jamaa zangu! Hivyo naitaji kampani yako sana pls Niko Arusha! KARIBUNI!

pole sana jamani me nipo Dar!!
 
Jaribu kuangalia mtizamo wako katika jamii inayokuzunguka uijue vizuri alafu ugundue nini hamuendani utajua namna nzuri ya kuishi na hao jamaa zako!.
 
Habar zenu wana bodi! Nimekuwa niko sirias kias kwamba watu wa karibu yangu wananiogopa ua kukaa mbali na mimi, Marafiki nilioko nao wananionyesha dharau ikiwa ni pamoja na ubinafsi! Kitu ambacho sipendi kitokee! Ningependa kuwa na kampani kwa maana ya marafiki na si lingine! Yaan nimekua mkiwa sababu ya ubinafsi ninaoonyeshwa na jamaa zangu! Hivyo naitaji kampani yako sana pls Niko Arusha! KARIBUNI!

ukiona hata majran unaoish nao hawana tm na ww bla shaka ww unamatatzo so jtathmn thn ujrkebsha.
 
Back
Top Bottom