Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
- Thread starter
-
- #41
ha tokea mda ule ndo uanijibu sasa/???nlitoka hapo saa 1 kwa kukusaidia mdada mkali katik wote waliokuwepo humo ndo mimi sahivi nipo the kiss kama unaweza kuja njoo rafiki:A S clock:[DUH SIO KWAMBA NIMECHELEWA KUJA ILA MUDA ULE ULE NILIINGIA HAPO, KUANGAZA MACHO SIKUONA CHOCHOTE! NA ILI UAMIN HAPO KULIKUWEPO KIGAR KIDOGO CHA MILANGO 2
basi sasa hivi kigari chochite cha milango miwili nikikuona nitakuwa naita apolonary apolonary tatizo hujaniambia rangi ya gari rafikiha tokea mda ule ndo uanijibu sasa/???nlitoka hapo saa 1 kwa kukusaidia mdada mkali katik wote waliokuwepo humo ndo mimi sahivi nipo the kiss kama unaweza kuja njoo rafiki:A S clock:[DUH SIO KWAMBA NIMECHELEWA KUJA ILA MUDA ULE ULE NILIINGIA HAPO, KUANGAZA MACHO SIKUONA CHOCHOTE! NA ILI UAMIN HAPO KULIKUWEPO KIGAR KIDOGO CHA MILANGO 2
acha watoe views zao sio dharau wanakujenga akili[ AKILI GAN ZA KUDHARAULIANA NDUGU? KWANZA NENO AKILI UNALIELEWAJE? UNALITAFSIRIJE?
Habar zenu wana bodi! Nimekuwa niko sirias kias kwamba watu wa karibu yangu wananiogopa ua kukaa mbali na mimi, Marafiki nilioko nao wananionyesha dharau ikiwa ni pamoja na ubinafsi! Kitu ambacho sipendi kitokee! Ningependa kuwa na kampani kwa maana ya marafiki na si lingine! Yaan nimekua mkiwa sababu ya ubinafsi ninaoonyeshwa na jamaa zangu! Hivyo naitaji kampani yako sana pls Niko Arusha! KARIBUNI!
Kwanini wanakuoneshea dharau?

hayo ni mambo ya[FONT=comi
pole sana jamani me nipo Dar!![/QUOTE KARIBU ARUSHA
Ayaa, daaa! Tatizo uko mbali, bathi tena
kampani ya namna gani fafanua