Nahitaji cycle mpya ya marafiki

Nahitaji cycle mpya ya marafiki

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Kama heading inavyojieleza Mimi ni kijana wa kitanzania mpweke haswa sina marafiki in real life. Niko hapa kuomba urafiki na watu wapya ambao tutasaidiana Mambo mbalimbali.

Anyone who is interested PM nikupatie number yangu tuwe tunawasiliana.

ASANTENI
 
Marafiki hawaombwi utakua disappointed.

Chagua hobby mbili tatu, uko ndio utapata wana.

Mfano:

1. Kanisani
2. Msikitini
3. Mpira
4. Jogging
5. Vibanda umiza
6. Betting Office
7. Movies
8. Kusoma vitabu
9. Nenda kanywe kahawa za kishua
10. Bar

nk
 
Back
Top Bottom