Nahitaji cycle mpya ya marafiki

Nahitaji cycle mpya ya marafiki

Rafiki hebu eleza kidogo sifa zako ili anaekutafuta aone kama urafiki utaleta maana.....

Umri, elimu, kazi, familia kama unayo, hobbies zako nini wapenda nini haupendi. Urafiki ni pamoja na kuendana.....

isijekua hapa mimi mshangazi wa
45 rafiki ana 17, napenda 🍺 rafiki anapenda maombi masaa yote huu urafiki utakua wa njiwa na kunguru, hauexist.
Beer nakunywa mno maombi sipendi kabisa ushangazi wako sio mbaya miaka yako sio Mingi Sana tunaweza kuwa
 
Marafiki hawaombwi utakua disappointed.

Chagua hobby mbili tatu, uko ndio utapata wana.

Mfano:

1. Kanisani
2. Msikitini
3. Mpira
4. Jogging
5. Vibanda umiza
6. Betting Office
7. Movies
8. Kusoma vitabu
9. Nenda kanywe kahawa za kishua
10. Bar

nk
Bar iwe ya 10 kweli??
 
Back
Top Bottom