SureKama heading inavyojieleza Mimi ni kijana wa kitanzania mpweke haswa sina marafiki in real life Niko hapa kuomba urafiki na watu wapya ambao tutasaidiana Mambo mbali mbali anyone who is interested PM nikupatie number yangu tuwe tunawasiliana ASANTENI
duh kumbe!!Unaitaji msaads
= circle.Kama heading inavyojieleza Mimi ni kijana wa kitanzania mpweke haswa sina marafiki in real life Niko hapa kuomba urafiki na watu wapya ambao tutasaidiana Mambo mbali mbali anyone who is interested PM nikupatie number yangu tuwe tunawasiliana ASANTENI