Nahitaji cycle mpya ya marafiki

Nahitaji cycle mpya ya marafiki

Basi wewe ni mwenzangu na mie! Huwa sina rafiki hata mtaani kwangu! Hata leo nikiulizwa rafiki yako nani? Sina jibu! Naomba uwe rafiki yangu wewe maana tunaendana!
mi nikiulizwa rafiki yako ni nani,,jibu ni sina kabisa,,we njoo piga story tucheke then potea,sasa mimi nawewe tukiwa marafiki tutakua tumevunja sheria yetu.
 
Watu wapweke Mara nyingi wanakuwa na tabia za hovyo zizizovumilika na watu ndo maana wanajikuta wapo wenyewe tu bila hata rafiki mmoja.

Mleta mada inakubidi ujitafakari Kwanza.
 
Nilikuwa na demu uko kitu nilikuwa nashangaa Winners kanisa kubwa kidogo ila mchungaji hajulikani kabisa. Wakati kwa Maghembe anajulikana yule mzee
Waga ni wa Nigeria wachungaji wao hawana mbwembe mchungaji mkuu ni David oyedepo ndiyo mchungaji tajiri kuliko wote africa
 
Back
Top Bottom