Nahitaji cycle mpya ya marafiki

Nahitaji cycle mpya ya marafiki

Kama heading inavyojieleza Mimi ni kijana wa kitanzania mpweke haswa sina marafiki in real life. Niko hapa kuomba urafiki na watu wapya ambao tutasaidiana Mambo mbalimbali.

Anyone who is interested PM nikupatie number yangu tuwe tunawasiliana.

ASANTENI
Jiangalie kwanza je, wewe ni kivutio cha hao marafiki unao wataka ?
 
Back
Top Bottom