Mr Spider
JF-Expert Member
- Feb 28, 2020
- 1,773
- 3,201
Nijikite kwenye mada moja kwa moja, nina hitaji kupata dalali wa nyumba na viwanja kwa mkoa wa Dar es salaam.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay shukrani.Jiunge na PwaniPlatforms kwa kum DM admin angalia hapo screenshot
View attachment 2627010
=
Au tuma pm kwa Mshana Jr au Mwl.RCT akupe group link na utaweza kupost hitaji lako na utafanikiwa kupata hitaji lako.
Naomba maelezo ya kina kuhusu hiyo pwaniplatformsJiunge na PwaniPlatforms kwa kum DM admin angalia hapo screenshot
View attachment 2627010
=
Au tuma pm kwa Mshana Jr au Mwl.RCT akupe group link na utaweza kupost hitaji lako na utafanikiwa kupata hitaji lako.