Si useme tu kua ni ww mwenyewe
huyu bint ana miaka 20. ana mwili mkubwa na ni mrefu ingawa hakuvimbiana. mbaya zaid mpenz wake alimwacha et ni mnene. nahitaj nimshaur njia ya haraka kupunguza mwili wake ili awe happy maana hajipend kabisa kwa sasa. mbaya zaid kwa mwili wake na kujazia hasa nyuma anachukia kutongozwa na mibaba akijihis peers wenzake wanamwogopa kudate naye.