Nahitaji dawa yakupunguza unene

Nahitaji dawa yakupunguza unene

Lububi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
2,158
Reaction score
3,808
Huyu binti ana miaka 20, ana mwili mkubwa na ni mrefu ingawa hakuvimbiana. Mbaya zaidi mpenzi wake alimwacha eti ni mnene.

Nahitaji nimshauri njia ya haraka kupunguza mwili wake ili awe happy maana hajipendi kabisa kwa sasa.

Mbaya zaidi kwa mwili wake na kujazia hasa nyuma anachukia .
 
Mwambie akakope benki harafu ashindwe kurejesha deni,hapa atakonda ndani ya siku mbili tu!
 
dah kitu mzigo,tupo watalaamu emu tupie contacts zake baada ya masaa furaha yake itarejea kwa kasi ya ajabu
 
Kwanini anataka atunyime raha kwa sie tunaopenda mizigo iliojazia jazia kama yeye? Mwambie asijali hizo ni Neema za Allah!
 
Yaani kaachwa kisa Bonge??.. Something not rait! Hapa
 
Mwambie wapo wanaopenda maumbile hayo. Asubirie tu.
 
Dah..... Eeh mungu mlete huyi mtu angalau apite mbele yangu tu walau mara moja ili roho yake ipone. Mie dereva wa wa lori vitz au spacio siwezag.
 
Si useme tu kua ni ww mwenyewe

mi mwanamme kaka. mi niltegemea anayejua dawa ya kupunguza unene kwa haraka nimsaidie mdogo wangu. mi mwenyewe ni mteja wa waliojazia lakin huyu ni ndugu. au nmimekosea jukwaa. isingekuwa ni mambo ya private law ningepost picha ukaona at 20 na alivyojazia. but ndo hvyo ataka uslim
 
Ana mwili uliojazia(mwili wa asili mfano miguu mikubwa mikono mikubwa tak kubwa nyony kubwa) au ni mnene tipwa tipwa...hebu tuanzie hapa
 
dawa ni kula vyakula vya afya... afanye mazoezi
 
huyu bint ana miaka 20. ana mwili mkubwa na ni mrefu ingawa hakuvimbiana. mbaya zaid mpenz wake alimwacha et ni mnene. nahitaj nimshaur njia ya haraka kupunguza mwili wake ili awe happy maana hajipend kabisa kwa sasa. mbaya zaid kwa mwili wake na kujazia hasa nyuma anachukia kutongozwa na mibaba akijihis peers wenzake wanamwogopa kudate naye.

Kuna kampuni inaitwa fertilicous wapigie watakuletea popote ulipo namba zao 0767728764 au 0713231113 dawa hazina kemikali trust me utanipa majibu.
 

Attachments

  • V-Pills kapsul.jpg
    V-Pills kapsul.jpg
    35.2 KB · Views: 332
Back
Top Bottom