Nahitaji Digital Camera mpya

Nahitaji Digital Camera mpya

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
3,045
Reaction score
3,389
Wakuu,

Tuungane kupeana Riziki. Leo nataka kuunga mkono mwanajamvi mwenye kuuza cameras.

Kama unauza, nataka Sonny Cyber shot. Au nyingine inayoendana na hiyo

Ni PM tufanye biashara.

Nipo Dar

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Utapata boss lakini kwakuagiza,niko Japan.
i-img1200x1200-1695867015gssau2552181.jpg
 
Back
Top Bottom