Nahitaji Dirham 400,000 Dhs (Dubai currency) ndani ya mwezi huu, msaada tafadhali

Nahitaji Dirham 400,000 Dhs (Dubai currency) ndani ya mwezi huu, msaada tafadhali

Mwanahisa

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2012
Posts
1,382
Reaction score
513
Naomba msaada Wakuu,
Kiasi hicho tajwa cha fedha nakihitaji ndani ya Mwezi huu wa 6, nanunua kwa shilingi ya Kitanzania au dollar ya kimarekani USD.

Shukrani
 
Daaaaah,shekhe si bora uende huko huko Dubai ukazichukue,mbona ni hela ndefu sana hasa ukichukulia kuwa exchange rate ya sasa ni 1.00 USD, = 3.67315 AED, Hapo unapata hela za madafu kama milioni 220 hivi,au la uende BOT kama wana hizo currency
au unaonaje Mkuu?
 
Mkuu steveachi ndio maana nimeomba msaada hapa jukwaani,
nakusanya kiasi chochote mtu alicho nacho au taasisi yoyote ya kifedha.
BoT sidhani kama wataniruhusu mtu binafsi.
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru Mwanahisa ,Tatizo la pesa yetu inashuka kila siku,miaka mitatu tu iliyopita Pesa ya Dubai UAE dirham 1 ilikuwa ni Tsh 250,leo hii 1 UAE dhs ni Tsh 500 ,hivyo 400,000dhs ni sawa na TSH 200,000,000.Kuna mchangiaji hapo juu kakushauri uende Dubai ni kweli wawezapata kwa rate ya chini kidogo lakini tatizo waarabu hawatakuruhusu kirahsi kutoka na pesa yao kiasi kikubwa itakuwa na maelezo sana,maana ukisema ununulie huko TZ wauzaji atakuuzia kwa bei ya juu...Lakini best solution watafute jamaa wanaitwa Dahabshiil money exchange Kariakoo watakupatia bila tatizo
 
kuna ka harufu ka utapeli umu mtoa mada atawaliza watu sasa hivi.

ujui maduka ya kubadilishia pesa?

Mkuu lucky sabasaba natoa shukrani zangu kwako, nitawatafuta mara moja hawa jamaa. Money Stunna nakuheshimu sana kaka.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom