Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru Mwanahisa ,Tatizo la pesa yetu inashuka kila siku,miaka mitatu tu iliyopita Pesa ya Dubai UAE dirham 1 ilikuwa ni Tsh 250,leo hii 1 UAE dhs ni Tsh 500 ,hivyo 400,000dhs ni sawa na TSH 200,000,000.Kuna mchangiaji hapo juu kakushauri uende Dubai ni kweli wawezapata kwa rate ya chini kidogo lakini tatizo waarabu hawatakuruhusu kirahsi kutoka na pesa yao kiasi kikubwa itakuwa na maelezo sana,maana ukisema ununulie huko TZ wauzaji atakuuzia kwa bei ya juu...Lakini best solution watafute jamaa wanaitwa Dahabshiil money exchange Kariakoo watakupatia bila tatizo
kuna ka harufu ka utapeli umu mtoa mada atawaliza watu sasa hivi.
ujui maduka ya kubadilishia pesa?
Mkuu lucky sabasaba natoa shukrani zangu kwako, nitawatafuta mara moja hawa jamaa. Money Stunna nakuheshimu sana kaka.