Nahitaji earphone za samsung kuanzia j5 prime na hata kama una ya series ya s6 na kupanda iwe used au mpya .

ashomile

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
2,936
Reaction score
3,054
Nahitaji earphone used au mpya kabisa iwe original kutoka samsung na kama unayo tuwasiliane chap kwa whatssap namba hii 0677991687 . Niko mwadui shinyanga ila nitagharimia usafiri msingi ifike .hakikisha mnaweka picha
 
Zina kipi cha ziada mkuu , ?
 
Nahitaji kwa ajili ya simu yangu
 
Nahitaji kwa ajili ya simu yangu
Mbona zipo nzuri zaidi ya hizo za samsung mkuu , yaan mpaka unatoa na offer ya kulipa nauli nilitegemea labda zingekua na kitu special sana agiza soundmagic e10 nazo ziko vzr
 
Naomba link yake
 
Mkuu umwambie kabisa na bei yake ni sawa na hiyo samsung yake.
 
Aliexpress .com,

1539142840510.png

Zinaonekan ni bora
https://bit.ly/2pIvCgK
 
Hivi mkuu unatumia bank gani kufanya transactions online? Mimi nina UBA - Cash Card naona wanamakato makubwa sana maana nikijumlisha kila kitu exchange rate yao inafika dollar moja kwa 3230? Nataka niwaache kitu cha dollar 8 unanunua kwa 30,000 mpaka inakua kero...naomba muongozo wapi kuna bei nafuu?
 
Mkuu umwambie kabisa na bei yake ni sawa na hiyo samsung yake.
Buhahahha .....
Hamna mkuu usimtishe ni dola 33 , kama sijakosea halafu si umeona yupo radhi kulipia nauli mtu ampelekee huko alipo ,...
 
Ni kweli iko juu.
Inatakiwa ukiweka makato yao & charges zingine zote basi isizidi 1usd = TZS2,385
Nimekutumia PM majina ya benki rafiki kwa manunuzi mtandaoni
Mkuu ungeweka hapa hizo bank ,Mimi pia nahitaji kufaham
 
Hakuna kitu naogopa if kama hili tangazo
Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForums

Hupaswi kuogopa,

Jipe muda Soma Post ya kwanza na ya pili kwenye hiyo link, Then pitia feedback za waliopata huduma. Ulimwengu wa sasa sio sawa na wakale, hivyo inatakiwa tubadilike na tuwena mawazo pamoja na mtazamo chanya.

Then jiulize Tangu tangazo limewekwa ni wanagapi wamekwisha hudumiwa bila tatizo?

Kwa nchi zilizo endelea hii ni huduma ya kawaida sana, Ambapo chochote ukihitaji unafikishiwa mahala ulipo

Karibu
 
Rafiki mimi ni mdau mzuri wa online business sijaanza hapa au baada ya tangazo.. hivyo naandika ninachokijua na tahadhari yake.kwa sababu uko kibiashara siwezi kuandika chochote ili kulinda biashara yako. Ndio maana nimeandika kiujimla na sio kiundani
 
Sema bei ya Mwl.RCT ni ndefu sana nikajua ntapata earphone kwa bei ya elfu 35
 
Back
Top Bottom