Nahitaji elimu juu ya mahusiano haya na mpenzi wangu

Kwanza tujue ni online dating au kinyume chake. Tofauti na hapo tutakupa ushauri ambao unaweza usikusaidie
Nilikaa dsm kwa mwaka mmoja, then alipopata kazi mkoani ndo akahamia huko. So kwasasa tunawasiliana kwa sim2, kwa mwaka huwa nachukua likizo maybe twice a year au mara tatu, naenda kuish nae.
 
Pole mkuu.
Ipo hivi, wanawake na wanaume sote Kwa pamoja wa tumeumbwa na hisia za kutamani tendo japo kwa muda mchache hata kama utajibana vipi.

Sasa kama mnaishi wote under one roof ni rahisi Kwa yeyote kumuanza mwenzake na mkaridhisha nafsi.

Kama mnaishi mbali na mbali ni ukweli uliomchungu kua mmoja wenu au wote lazima atatafta wa kumuondolea kiu yake. Hasa Kwa wale ambao inapita hata miezi sita bila kumuona mwenzake kimwili.

Ninahakika hata wewe Kaka umeshakutana kimwili na wanawake kama sio mmoja basi zaidi ya mmoja wakati mwenzako akiwa mbali.

Sasa basi, Kwa mwanaume Kwa kua tumeumbwa na matamanio sio kesi sana yaani utatoka ili Hali mapenzi Kwa mwenza wako yapo palepale.

Kwa mwanamke ikitokea na lazima itokee kua akasex nje mala moja hata kama ni one night stand, basi taratibu sana anaanza kukufuta kwenye ramani zake.

So nisikuchoshe kaka na wala usiogope. Bado unaweza kurekebisha hili Kwa kua jirani zaidi au jiandae kuachwa mazima kitu ambacho sipendi kitokee.

Hua tunasema mke wangu au mume wangu ni mwema sababu hatujui na hatujawahi kufumania.

Mwisho Kwa mwisho kuchepuka sababu ya umbali na kutoonana Kwa zaidi ya six month sio dhambi Bali ni hitaji la lazima
 
Huwa unaenda mwanza,mapenzi ya mbali ni changamoto,kiufupi yuko dilemma hajui akomae na yupi kati yako na yule mpya,unapotaka kumuacha usidhani atakwambia ndio hakuna kitu kama hicho kikubwa anza kumpotezea,kama anakuhitaji utajua tu
 
Ukiona anachati na ww kifupi jua kuna anaye chati nae kirefu na ndio anamnyandua nowadays Mzee hapo sija sugarcoat.
 
Distance ndo mchawi wa mahusiano yako

Kama unampenda sana ua distance but kama humpendi muqche amtafute alie karibu nae.
 
Wazazi wetu walisha tuambia fimbo ya mbali haiui nyoka na bado vitabu vya dini vinatuambia tuwaheshimu wazazi sasa wewe endelea kukaza fuvu .
 
Habari zenu ladies and gentles, natumaini mko poa popote pale mlipo.

Naomba kupewa mawazo, maoni, experience au ushauri juu ya hii changamoto ninayokutana nayo.

Nina mpenzi wangu tumeanza mahusiano huu tunaenda ni mwaka wa 3 sasa. Tulianza mahusiano vizuri sana, nilikuwa naenjoy chats and calls, it was romantic katika kila aspects.

Bahati mbaya mahusiano yetu ni long distance, mimi nipo Dar but yeye yupo mkoani Kanda ya Ziwa ameajiriwa huko.

Hatujawahi kuwa na mgogoro wa ku cheat, kwa maana ya hakuna aliyewahi kukutwa au kugundulika kama ana mahusiano ya nje, zaidi ni small conflict za mda mfupi tu.

But nowadays kuna mabadiliko sana, yaani hasa kwenye jinsi ya ku chat via messages, yaani si enjoy kabisa, anajibu text short, hataki story ziwe nyingi kwenye chats, sometimes hata calls zangu hazim-excite kabisa mkianza kuongea. It is not romantic anymore hasa kwenye chats and calls.

Sasa sijui shida ipo vipi? Maybe kuna tabia za wanawake bado sijazi understand. Ananionesha kuwa ananihitaji always, yupo tayari tufunge hata ndoa. Niliwahi kumtishia kuachana akaniomba radhi sana tuendelee. In fact, still kuna vitu anafanya vinaonesha still bado ana malengo namimi.

Naombeni ushauri wenu juu ya hili, kuna muda nawaza nitafute mtu huku Dar nianze nae maisha kwakuwa siienjoy kabisa kwenye kuwasiliana na mtu wangu, lakini uamuzi huo siutaki kwakuwa bado nampenda na hajanipa sababu kubwa za kuachana na sina evidence kama anacheat.
miaka unayo mingapi?
 
Hakuna Mwanamke mwenye malengo na Mwanaume
 
Back
Top Bottom