Nahitaji elimu juu ya mahusiano haya na mpenzi wangu

Kwanza tujue ni online dating au kinyume chake. Tofauti na hapo tutakupa ushauri ambao unaweza usikusaidie
Nilikaa dsm kwa mwaka mmoja, then alipopata kazi mkoani ndo akahamia huko. So kwasasa tunawasiliana kwa sim2, kwa mwaka huwa nachukua likizo maybe twice a year au mara tatu, naenda kuish nae.
 
Nilikaa dsm kwa mwaka mmoja, then alipopata kazi mkoani ndo akahamia huko. So kwasasa tunawasiliana kwa sim2, kwa mwaka huwa nachukua likizo maybe twice a year au mara tatu, naenda kuish nae.
Pole mkuu.
Ipo hivi, wanawake na wanaume sote Kwa pamoja wa tumeumbwa na hisia za kutamani tendo japo kwa muda mchache hata kama utajibana vipi.

Sasa kama mnaishi wote under one roof ni rahisi Kwa yeyote kumuanza mwenzake na mkaridhisha nafsi.

Kama mnaishi mbali na mbali ni ukweli uliomchungu kua mmoja wenu au wote lazima atatafta wa kumuondolea kiu yake. Hasa Kwa wale ambao inapita hata miezi sita bila kumuona mwenzake kimwili.

Ninahakika hata wewe Kaka umeshakutana kimwili na wanawake kama sio mmoja basi zaidi ya mmoja wakati mwenzako akiwa mbali.

Sasa basi, Kwa mwanaume Kwa kua tumeumbwa na matamanio sio kesi sana yaani utatoka ili Hali mapenzi Kwa mwenza wako yapo palepale.

Kwa mwanamke ikitokea na lazima itokee kua akasex nje mala moja hata kama ni one night stand, basi taratibu sana anaanza kukufuta kwenye ramani zake.

So nisikuchoshe kaka na wala usiogope. Bado unaweza kurekebisha hili Kwa kua jirani zaidi au jiandae kuachwa mazima kitu ambacho sipendi kitokee.

Hua tunasema mke wangu au mume wangu ni mwema sababu hatujui na hatujawahi kufumania.

Mwisho Kwa mwisho kuchepuka sababu ya umbali na kutoonana Kwa zaidi ya six month sio dhambi Bali ni hitaji la lazima
 
Huwa unaenda mwanza,mapenzi ya mbali ni changamoto,kiufupi yuko dilemma hajui akomae na yupi kati yako na yule mpya,unapotaka kumuacha usidhani atakwambia ndio hakuna kitu kama hicho kikubwa anza kumpotezea,kama anakuhitaji utajua tu
 
"Nahitaji elimu juu ya mahusiano haya na mpenzi wako" [emoji848]
 
Ukiona anachati na ww kifupi jua kuna anaye chati nae kirefu na ndio anamnyandua nowadays Mzee hapo sija sugarcoat.
 
Distance ndo mchawi wa mahusiano yako

Kama unampenda sana ua distance but kama humpendi muqche amtafute alie karibu nae.
 
Wazazi wetu walisha tuambia fimbo ya mbali haiui nyoka na bado vitabu vya dini vinatuambia tuwaheshimu wazazi sasa wewe endelea kukaza fuvu .
 
miaka unayo mingapi?
 
Hakuna Mwanamke mwenye malengo na Mwanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…