Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli biashara zote zinalipa ila itategemea na mtaji wako, so kwa mtaji niliouweka hapo juu itakidhi kwa biashara ipi???Biashara zote zinalipa
Kwa experience yangu ndogo ya miaka 6 kwenye hii biashara ninayofanyaWAkuu hivi naomba kuuliza kama una milioni 30 inatosha kuchukua mzigo china ila pesa hiyo hiyo ndio yakufanyia clearance bandarini na kupakia mzigo kutoka china kuleta hapa na kama inatosha ni biashara gani italipa
Hiyo UTT wanalipaje kwa mfano hyo 25M unapata malipo vipi????Kwa experience yangu ndogo ya miaka 6 kwenye hii biashara ninayofanya
Kama hiyo hela sio ya mkopo
Chukua 25m weka UTT
Then 5m Anza kuchukua mzigo kkoo Anza from scratch otherwise utachoma hizo millions
Acha uvivuHiyo UTT wanalipaje kwa mfano hyo 25M unapata malipo vipi????