hp4510 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 7,235 Reaction score 7,392 Jan 5, 2022 #1 Wakuu Hari ya Mwaka Mpya Naitaji Eneo la kununua Kwa ajili ya kufanyia Biashara, Eneo liwe karibu kabisa na Barabarani, Napenda Sana chanika, kama ni chanika mwisho au sehemu yoyote sio nje ya chanika Mimi Niko Dar so mwenye eneo kama Hilo ambae analiuza please naomba unidm Kwa maelezo zaidi Quote Reply
Wakuu Hari ya Mwaka Mpya Naitaji Eneo la kununua Kwa ajili ya kufanyia Biashara, Eneo liwe karibu kabisa na Barabarani, Napenda Sana chanika, kama ni chanika mwisho au sehemu yoyote sio nje ya chanika Mimi Niko Dar so mwenye eneo kama Hilo ambae analiuza please naomba unidm Kwa maelezo zaidi Quote Reply
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jan 5, 2022 #2 Ngoja waje kukupa muongozo...