Zemanda JF-Expert Member Joined Jan 10, 2021 Posts 8,323 Reaction score 18,051 May 7, 2024 #1 Habari Nahitaji eneo lenye ukubwa wa Ekari 3 kuendelea hata 5 au 6 sio mbaya kwaajiri ya kukodi na kama tutaelewana naweza kubaliana kufanya manunuzi. Nataka liwe maeneo ya kuanzia kibaha hadi chalinze. Au maeneo ya Bagamoyo. Lisiwe ndani ndani sana maana sio vizuri eneo kuwa ndani sana. Nipo open kwa suggestions kama kutakuwapo na eneo nje ya hapo kama Morogoro, au hii njia ya tanga. Umeme ukiwa karibu ni jambo zuri na pia maji kwa maana ya kisima itakuwa poa sana. Kwa ambaye analo unaweza share hapa taarifa then tuendelee mazungumzo zaidi.
Habari Nahitaji eneo lenye ukubwa wa Ekari 3 kuendelea hata 5 au 6 sio mbaya kwaajiri ya kukodi na kama tutaelewana naweza kubaliana kufanya manunuzi. Nataka liwe maeneo ya kuanzia kibaha hadi chalinze. Au maeneo ya Bagamoyo. Lisiwe ndani ndani sana maana sio vizuri eneo kuwa ndani sana. Nipo open kwa suggestions kama kutakuwapo na eneo nje ya hapo kama Morogoro, au hii njia ya tanga. Umeme ukiwa karibu ni jambo zuri na pia maji kwa maana ya kisima itakuwa poa sana. Kwa ambaye analo unaweza share hapa taarifa then tuendelee mazungumzo zaidi.
W wangatala JF-Expert Member Joined Apr 4, 2022 Posts 3,606 Reaction score 7,671 May 7, 2024 #2 Pale kibaha Kuna njia ya mkato kuelekea bagamoyo,ukiifata hiyo barabara ya kuelekea bagamoyo Kama km 2,Nina ekari 7,maji,umeme upo,unanipa ngap boss?
Pale kibaha Kuna njia ya mkato kuelekea bagamoyo,ukiifata hiyo barabara ya kuelekea bagamoyo Kama km 2,Nina ekari 7,maji,umeme upo,unanipa ngap boss?
Zemanda JF-Expert Member Joined Jan 10, 2021 Posts 8,323 Reaction score 18,051 May 8, 2024 Thread starter #3 wangatala said: Pale kibaha Kuna njia ya mkato kuelekea bagamoyo,ukiifata hiyo barabara ya kuelekea bagamoyo Kama km 2,Nina ekari 7,maji,umeme upo,unanipa ngap boss? Click to expand... Ngoja nije sebuleni (DM)kwako basi huko tuyajenge mzee mwenzangu.
wangatala said: Pale kibaha Kuna njia ya mkato kuelekea bagamoyo,ukiifata hiyo barabara ya kuelekea bagamoyo Kama km 2,Nina ekari 7,maji,umeme upo,unanipa ngap boss? Click to expand... Ngoja nije sebuleni (DM)kwako basi huko tuyajenge mzee mwenzangu.