Nahitaji eneo lisilopungua Ekari 3 kukodisha/kununua

Nahitaji eneo lisilopungua Ekari 3 kukodisha/kununua

Zemanda

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2021
Posts
8,323
Reaction score
18,051
Habari

Nahitaji eneo lenye ukubwa wa Ekari 3 kuendelea hata 5 au 6 sio mbaya kwaajiri ya kukodi na kama tutaelewana naweza kubaliana kufanya manunuzi.

Nataka liwe maeneo ya kuanzia kibaha hadi chalinze. Au maeneo ya Bagamoyo. Lisiwe ndani ndani sana maana sio vizuri eneo kuwa ndani sana.

Nipo open kwa suggestions kama kutakuwapo na eneo nje ya hapo kama Morogoro, au hii njia ya tanga.

Umeme ukiwa karibu ni jambo zuri na pia maji kwa maana ya kisima itakuwa poa sana.

Kwa ambaye analo unaweza share hapa taarifa then tuendelee mazungumzo zaidi.
 
Pale kibaha Kuna njia ya mkato kuelekea bagamoyo,ukiifata hiyo barabara ya kuelekea bagamoyo Kama km 2,Nina ekari 7,maji,umeme upo,unanipa ngap boss?
 
Pale kibaha Kuna njia ya mkato kuelekea bagamoyo,ukiifata hiyo barabara ya kuelekea bagamoyo Kama km 2,Nina ekari 7,maji,umeme upo,unanipa ngap boss?
Ngoja nije sebuleni (DM)kwako basi huko tuyajenge mzee mwenzangu.
 
Back
Top Bottom