ya mufindi JF-Expert Member Joined Dec 23, 2014 Posts 569 Reaction score 888 Oct 18, 2017 #1 Wakuu nina Noah nimeweka juu ya mawe msaada wa bei na kuipata
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 17,216 Reaction score 26,225 Oct 18, 2017 #2 Ilala Shaurimoyo Dar.sidhani kama itakuwa chini ya 1M.hizi ni used from Japan.Labda kama utampata mtu mwenye gari hizi ambayo itakuwa imekufa lakini engine ni nzima Rav4 au Ipsum old model hapa TZ anaweza akakupozea bei.
Ilala Shaurimoyo Dar.sidhani kama itakuwa chini ya 1M.hizi ni used from Japan.Labda kama utampata mtu mwenye gari hizi ambayo itakuwa imekufa lakini engine ni nzima Rav4 au Ipsum old model hapa TZ anaweza akakupozea bei.
ya mufindi JF-Expert Member Joined Dec 23, 2014 Posts 569 Reaction score 888 Oct 19, 2017 Thread starter #3 Asante sana