nahitaji engine 3s nina kabajeti kadogo msaada

nahitaji engine 3s nina kabajeti kadogo msaada

ya mufindi

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2014
Posts
569
Reaction score
888
Wakuu nina Noah nimeweka juu ya mawe msaada wa bei na kuipata
 
Ilala Shaurimoyo Dar.sidhani kama itakuwa chini ya 1M.hizi ni used from Japan.Labda kama utampata mtu mwenye gari hizi ambayo itakuwa imekufa lakini engine ni nzima Rav4 au Ipsum old model hapa TZ anaweza akakupozea bei.
 
Back
Top Bottom