mpushi
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 280
- 77
Wakuu salam, naomba kujuzwa bei ya Engine 1AZ D4 VVTI kwa hapo Dar es salam, complete engine
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp MpushiWakuu salam, naomba kujuzwa bei ya Engine 1AZ D4 VVTI kwa hapo Dar es salam, complete engine
Sent using Jamii Forums mobile app
Valve zilikatika zitatoboa piston moja na kuharibu cylinder head, baada ya mashauriano na mafundi kuhusu kuoverhaul nmefikiria ninunue engine nyingineVp Mpushi
Naomba kujua tatizo la hiyo engine ulionayo sasa naweza kusaidia kama ni upande wa umeme au hata overhaul.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafunga kwenye Noah au rav4?Wakuu salam, naomba kujuzwa bei ya Engine 1AZ D4 VVTI kwa hapo Dar es salam, complete engine
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kw mrejesho. Kweli hiyo damage ni extensive. Ntakupa jibu karibuni.Valve zilikatika zitatoboa piston moja na kuharibu cylinder head, baada ya mashauriano na mafundi kuhusu kuoverhaul nmefikiria ninunue engine nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Ntashukuru sanaAsante kw mrejesho. Kweli hiyo damage ni extensive. Ntakupa jibu karibuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeipenda saana APROACH yako ya kumsaidia huyu ndugu.Natamani huku JF tungekuwa hivyo.Hongera saana na nina kuombea uendeleze moyo huo huoAsante kw mrejesho. Kweli hiyo damage ni extensive. Ntakupa jibu karibuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kw positive attitude na trust. Bila hivyo vitu viwili hatutaweza isongesha Afrika mbele.Nimeipenda saana APROACH yako ya kumsaidia huyu ndugu.Natamani huku JF tungekuwa hivyo.Hongera saana na nina kuombea uendeleze moyo huo huo
D4 = 1.3mAsante kw positive attitude na trust. Bila hivyo vitu viwili hatutaweza isongesha Afrika mbele.
Sent using Jamii Forums mobile app