Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei zako sasa
Shida hizi we acha to. Mm nimeuza TV yangu ya1.2 kwa 300kHa ha ha ha ha ha ha ha ha!!!..
Mkuu Dansmith.
Akhsalaam Aleykhum!!!..
Ni suala la mahitaji na wakati tu Mkuu, January mwaka huu nilibanwa na dharura flani nikauza Noah yangu SR40 number D niliyooingiza moja kwa moja toka Japan ikinigharimu millioni 11 na laki mbili na kuitumia sio zaidi ya mwaka mmoja kwa millioni tano na laki tano Mkuu, lakini Alhamdullilah iniwezesha kutatua tatizo langu na hivyo sikujutia, kwa hio huwezi jua unaweza kuta kuna mdau kabanwa na tatizo na anaihitaji hio millioni moja na nusu kulitatua tatizo lake, ndio maana nikaona tupeane taarifa/fursa mapema kabisa kabla ya January ya ada na mengineyo asije mtu akauza engine hio hio kwa laki 7 na elfu hamsini Mkuu!!! 😀😀😉😉..
Tuko pamoja Mkuu!!!..
Cheers,
Mawio 🙂🙂!!!..
Shida hizi we acha to. Mm nimeuza TV yangu ya1.2 kwa 300k
Wakuu, salaam!!!..
Ninahitaji engine ya Landrover 110 - 300 Series.
Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790
Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni Millioni moja na nusu (1,500,000/=)
Shukrani.