Ha ha ha ha ha ha ha ha ha!!!..
Mkuu Dansmith.
Akhsalaam Aleykhum!!!..
Ni suala la mahitaji na wakati tu Mkuu, January mwaka huu nilibanwa na dharura flani nikauza Noah yangu SR40 number D niliyooingiza moja kwa moja toka Japan ikinigharimu millioni 11 na laki mbili na kuitumia sio zaidi ya mwaka mmoja kwa millioni tano na laki tano Mkuu, lakini Alhamdullilah iniwezesha kutatua tatizo langu na hivyo sikujutia, kwa hio huwezi jua unaweza kuta kuna mdau kabanwa na tatizo na anaihitaji hio millioni moja na nusu kulitatua tatizo lake, ndio maana nikaona tupeane taarifa/fursa mapema kabisa kabla ya January ya ada na mengineyo asije mtu akauza engine hio hio kwa laki 7 na elfu hamsini Mkuu!!! ππππ..
Tuko pamoja Mkuu!!!..
Cheers,
Mawio ππ!!!..